Skip to main content
Skip to main content

Katibu Judith Pareno awahimiza wanachama kuwa waangalizi dhidi ya ufisadi za kaunti

  • | NTV Video
    153 views
    Duration: 1:35
    Katibu katika wizara ya haki za binadamu na masuala ya katiba, Judith Pareno, aliwahimiza wanachama wa kamati za uangalizi wa wananchi dhidi ya ufisadi za kaunti kuhakikisha wanafanya kazi yao kwa uaminifu na uwajibikaji. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya