Katibu Korir Sing’oei asema Raila atashinda kiti cha AUC

  • | Citizen TV
    16,467 views

    Kesho Ikiwa Siku Ya Kubaini Mbivu Na Mbichi Kuhusu Nani Atatwaa Kiti Cha Uenyekiti Wa Tume Ya Umoja Wa Afrika Kinachogombewa Nao Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Waziri Wa Masuala Ya Kigeni Wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf Na Aliyekuwa Waziri Wa Kigeni Wa Madagascar Richard Randriamandrato, Kampeni Za Lala Salama Zinashuhudiwa. Haya Ni Huku Mataifa Ya Sadc Yakitangaza Kumuunga Mkono Mgombea Wa Madagascar. Rais William Ruto Tayari Yuko Addis Ababa Ambapo Amefanya Mazungumzo Na Mwenyekiti Anayeondoka Moussa Faki.