Umaarufu wa kuku wa kienyeji Singida

  • | BBC Swahili
    4,617 views
    #bbcswahili #kuku #singida Mkoa wa Singida nchini mwa Tanzania ni maarufu kwa ufugaji na uuzaji wa kuku wa kienyeji kwa ajili ya nyama. Hivi karibuni kulifanyika tamasha maalumu kuenzi na kukumbushana umuhimu wa shughuli hiyo muhimu ya kiuchumi kwa wakazi wa mkoa huo, ambao baadhi wameiambia BBC kwa sasa ufugaji wa kuku hao unakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo za kimazingira kutokana na mabdiliko ya tabia ya nchi na ukuaji wa miji kwa haraka. Mwandishi wa BBC Eagan Salla alikuwa mkoani Singida na hii hapa ni taarifa yake, - - #bbcswahili #kuku #singida #mabadilikoyatabianchi #tamasha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw