Katibu mkuu wa UDA Cleophas Malala amewahakikishia wagombea uchaguzi huru

  • | Citizen TV
    156 views

    Katibu mkuu wa UDA Cleophas Malala, amewahakikishia wanaoazimia kupata nyadhifa za uongozi katika chama hicho kuwa uchaguzi ujao utakuwa wa haki na wenye uwazi. Malala amesema kuwa hakutakuwa na uteuzi wa moja kwa moja kwenye nyadhifa za mashinani.