Katibu wa elimu Belio Kipsang azungumza kuhusu kasoro za matokeo ya mtihani wa KCPE

  • | Citizen TV
    412 views

    Katibu katika wizara ya elimu Dkt. Belio Kipsang ameandamana na wabunge wanachama wa kamati ya bunge kuhusu elimu kuzuru bohari la baraza la mitihani ya kitaifa. Haya yanajiri kufuatia malalamishi kutoka kwa wazazi na walimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kcpe yaliyokumbwa na utata. Aidha Kipsang amesema kuwa usahihishaji wa tathmini ya gredi ya sita bado unaendelea