Katibu wa elimu ya juu Beatrice Inyangala aonya machifu dhidi ya kughushi habari kuhusu wanafunzi

  • | Citizen TV
    168 views

    Katibu wa elimu ya juu na utafiti Dkt. Beatrice Inyangala anasema kuwa baadhi ya maafisa wa serikali wameghushi habari kuhusu wanafunzi na kusababisha mtafaruku kuhusu ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu.