6 Mar 2026 10:41 am | Citizen TV 181 views Duration: 1:34 Idara ya magereza imeanza kampeni ya kupanda miti ili kutimiza lengo la kitaifa la kupanda miti bilioni 15 ifikapo mwaka 2032.