Katibu wa kilimo aagiza kusitishwa kwa usambazaji wa mbolea

  • | Citizen TV
    134 views

    Katibu wa wizara ya Kilimo Kipronoh Ronoh ameiagiza bodi ya nafaka na mazao nchini, NCPB kusitisha usambazwaji wa baadhi ya mbolea chini ya mpango wa ruzuku ya serikali kwa wakulima.