Katibu wa Vyama vya Ushirika ataka bunge kuukamilisha

  • | Citizen TV
    228 views

    Katibu wa Vyama vya Ushirika Patrick Kilemi ameitaka Bunge la Seneti kukamilisha mswada wa vyama vya ushirika ili kutoa nafasi mabadiliko katika sekta hiyo.