Katibu wa wizara ya huduma za jamii atoa zawadi kwa wakongwe

  • | Citizen TV
    303 views

    Katibu katika wizara ya huduma kwa Jamii Joseph Motari amehimiza wakenya kuwakumbuka wazee na watoto mayatima msimu huu wa krismasi akisema wengi wao wametelekezwa