29 Oct 2025 11:15 am | Citizen TV 162 views Duration: 1:37 Katibu katika Wizara ya Leba na Maendeleo ya Ujuzi, Shadrack Mwadime, ameongoza hafla ya kuwatunuku vyeti wahitimu 147 wa mpango unaolenga kuboresha na kuinua hadhi ya watoa huduma katika sekta isiyo rasmi.