Skip to main content
Skip to main content

Kauli ya Chadema baada ya Heche kukamatwa nje ya mahakama

  • | BBC Swahili
    40,242 views
    Duration: 5:41
    Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania John Heche amekamatwa na polisi nje ya mahakama alipokuwa amehudhuria kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Tunaendelea kumtafuta mkuu wa polisi kanda maalum Tarime Rorya kwa ufafanuzi zaidi kuhusu kukamatwa kwa bwana Heche. #JohnHeche #Tanzania #bbcswahili #bbcswahilileo #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw