Kaunti ya Embu yapokea shehena ya dawa za shilingi milioni 42

  • | Citizen TV
    194 views

    Serikali ya kaunti ya Embu imepokea shehena ya dawa zenye thamani ya shilingi milioni 42 . Hii ni baada ya malalamishi kutoka kwa wagonjwa kuhusu ukosefu wa dawa katika vituo vingi vya afya kaunti hiyo.