Kaunti ya Garissa yadhamini harusi ya watu wengi

  • | Citizen TV
    1,218 views

    Wanandoa Zaidi Ya 40 Kutoka Kaunti Ya Garissa Wakiwemo Wazee, Vijanana Wanaoishi Na Ulemavu Wameandaliwa Harusi Ya Watu Wengi Na Serikali Ya Kaunti Hiyo Baada Ya Kushindwa Na Gharama Ya Harusi Ambayo Inaonekana Kuwa Ghali Mno.