Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Isiolo yachukua hatua kukomesha mimba za utotoni kupitia kampeni ya uhamasisho

  • | KBC Video
    136 views
    Duration: 1:45
    Idara ya afya kwenye kaunti ya Isiolo ikishirikiana na mashirika yasiyo ya serikali imeanzisha kampeni ya kupunguza mimba za utotoni ambazo kiwango chake kimefikia asilimia 17 katika kaunti hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive