11 Dec 2025 1:11 pm | Citizen TV 248 views Duration: 3:11 Kaunti ya Kajiado imezindua sheria mpya ya kukabiliana na dhuluma za jinsia. Kajiado ni kaunti ya kwanza kuzindua sheria hiyo inayotarajiwa kupunguza aina zote za dhuluma.