Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kilifi yazindua mpango wa kuwawezesha wanawake

  • | Citizen TV
    149 views
    Duration: 1:51
    Kama njia ya kuwapa ajira na kuwawezesha kiuchumi akina mama katika Kaunti ya Kilifi, serikali ya Kaunti hiyo imeanzisha mradi wa kuwapa maelfu ya akina mama bidhaa tofauti tofauti ambazo watazitumia katika kuboresha uchumi wao wa kila siku. Ni katika hafla iliyowaleta wakazi kwa pamoja ili kusherehekea siku ya wanawake ulimwenguni ambapo serikali ya Kaunti ya Kilifi ilianzisha mradi utakaoendeshwa kila tarehe 8 mwezi wa machi ili kuwapa wanawake nafasi ya kuboresha maisha ya jamii.