Kaunti ya Kwale yapanda miti kwenye gereza la wanaume

  • | Citizen TV
    252 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale imepanda zaidi ya miti laki sita katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita kufuatia mwongozo wa serikali kuu wa kupanda miti bilioni 15 kufikia mwaka wa 2032.