Kaunti ya Lamu yakamilisha fainali ya michuano kati ya vijana

  • | Citizen TV
    168 views

    Kaunti ya Lamu tayari imekamilisha fainali ya michuano ya timu 30 kutoka wadi zote 10 za Lamu kwa vijana chini ya umri wa miaka 19, lengo kuu likiwa ni kuwachagua wachezaji bora wa kandanda ili kuunda timu moja itakayowakilisha kaunti hii katika Dimba la Talanta Hela linalotarajiwa Desemba mwaka huu jijini Nairobi