Kaunti ya makueni yafanya uhamasisho kwa wakazi kuhusu manufaa ya upanzi wa miti

  • | Citizen TV
    225 views

    Kaunti ya makueni kwa ushirikiano na wadau wengine wanafanya uhamasisho kwa wakazi kuhusu manufaa ya upanzi wa miti na haswa mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.