Kaunti ya Mandera yatoa mafunzo ya kiufundi

  • | Citizen TV
    172 views

    Kaunti ya Mandera imepiga hatua muhimu ili kuboresha elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa kutoa mafunzo kwa maafisa 60 wa kiufundi