Kaunti ya Samburu inaratibu mikakati ya vita dhidi ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    197 views

    Kaunti ya Samburu imeanzisha mchakato wa kubuni sera zitakazoisaidia kaunti hiyo kukomesha ukeketaji. Kwa sasa kaunti hiyo inaongoza Kwa asilimia 75.6 ya visa vya ukeketaji. Mchakato huo unalenga kukusanya maoni kutoka Kwa wananchi kabla kuwasilishwa Kwa asasi husika ili kupasishwa.