Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Siaya yakanusha madai ya kuhamisha Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga

  • | KBC Video
    10 views
    Duration: 1:17
    Serikali ya Kaunti ya Siaya imekanusha madai kwamba iko na mipango ya kuhamisha Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Jaramogi Oginga Odinga kutoka ardhi ya kituo cha mafunzo ya kilimo cha Siaya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive