Kaunti ya Taita Taveta yazamia katika kilimi cha viwavi hariri

  • | Citizen TV
    240 views

    Kaunti ya Taita Taveta ni miongoni mwa kaunti 7 nchini ambazo sasa zimezamia uzalishaji wa hariri. Kilimo cha viwavi hariri kimewapa wakazi matumaini ya kujiinua kiuchumi huku kiwanda kipya cha charka mjini voi kikiwapa nafasi ya kutengeneza hariri ambayo inaweza kupata soko katika nchi za nje kama vile Uchina na India.