Kaunti ya Trans Nzoia imeandaa mikutano na wakazi ili kutatua mizozo ya ardhi

  • | Citizen TV
    816 views

    Kufuatia ongezeko la visa vya mauwaji na watu kujeruhiwa katika mizozo ya mashamba eneo la endebess kaunti ya Trans-Nzoia, serikali ya kaunti hiyo imeanzisha mazungumzo na wahusika ili kutafuta mwafaka katika mizozo hiyo.