Kaunti za Kaskazini zapania kuweka marufuku uuzaji na ulaji wa muguka

  • | Citizen TV
    1,347 views

    Udhibiti Wa Muguka Kaunti Za Kaskazini Zapania Kuweka Marufuku Gavana Wa Mandera Asisitiza Udhibiti Wa Muguka Kwale Yaweka Kodi Zaidi Kwa Muguka Na Miraa Kaunti Za Pwani Zinashinikiza Marufuku Ya Muguka Magavana Wasema Muguka Umeathiri Afya Ya Vijana