Kaunti zaagizwa kuidhinisha mswada wa mawasiliano

  • | Citizen TV
    168 views

    Tume ya haki na usawa nchini imeyataka mabunge ya kaunti kuharakisha kupitisha mswada wa kufanikisha mawasiliano Kwa umma, ili kuisaidia Serikali kupitisha jumbe zake Kwa urahisi na kuwaelimisha wakenya kuhusu miradi wanayoifanikisha