13 Jul 2026 10:33 am | Citizen TV 150 views Duration: 1:06 Huku serikali kuu ikiendelea kuwawezesha vijana kupitia mpango wa nyota kote nchini, baadhi ya serikali za kaunti zimeanza kuongeza kiwango cha ufadhili kwa wanufaika kama njia ya kuimarisha uwezeshaji wa vijana.