Kazi ni Kazi I Grace 'Barber Queen'

  • | KBC Video
    50 views

    Kwa wasiopenda kulea nywele vichwani utawapata kwenye vinyozi wakipunguza nywele zao hadi kiwango wanachohitaji. Ni kazi ambayo ilidhaniwa kuwa ya wanaume pekee lakini wanawake pia wamejitosa kwenye shughuli ya kunyoa nywele kujipatia kipato. Fredrick Muoki alitangamana na Grace anayefahamika kwa jina la utani Barber Queen na kuandaa makala yafuatayo ya kazi ni kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News