Skip to main content
Skip to main content

Kazi ni Kazi I Kazi ya kusanifisha mmea wa shubiri na kutengeneza bidhaa za kujirembesha

  • | KBC Video
    139 views
    Duration: 4:47
    Idadi ya mabinti ambao wanaendelea kukumbatia ubunifu ili kujiariri inaendelea kuongezeka kila uchao kama mojawapo ya njia za kujitafutia riziki. Kwenye makala ya juma hili ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anamwangazia Modesty Kathure, ambaye amekumbatia kazi ya kusanifisha mmea wa shubiri na kutengeneza bidhaa za kujirembesha. Tazama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive