Kazi ni Kazi I Waithera anayetengeneza vyakula na vinywaji vya afya

  • | KBC Video
    28 views

    Lishe bora ni muhimu kwa afya kwani hutoa virutubishi kama vile protini, madini na vitamini ambavyo mwili unahitaji ili kufanya kazi vyema na kudumisha afya. Kwenye makala ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki alitangamana na Waithera ambaye amejitosa kwenye biashara ya kutengeneza vyakula na vinywaji vya kutitimua misuli. Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive