Skip to main content
Skip to main content

Kazi Ni Kazi: Vijana wahimizwa watafute ajira za kujitegemea

  • | KBC Video
    40 views
    Duration: 5:01
    Kati ya wanafunzi wanaokamilisha masomo yao ya vyuo vikuu, ni wachache tu hufanikiwa ku pata ajira. Hata hivyo, idadi ya wanaokumbatia maarifa ili kutafuta riziki inaendelea kuongezeka kila uchao. Kwenye makala ya kazi ni kazi, Fredrick Muoki alitangamana na kijana aliyepokea maarifa ya kusanifu vyakula na vinywaji na sasa ni shughuli inayomsaidia kukimu mahitaji yake. Tazama Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive