KCB watetea ubingwa wa voliboli

  • | Citizen TV
    436 views

    Kcb Ilitumia Nguvu Ya Ziada Kuilaza Kenya Prisons Seti Tatu Kwa Bila Na Kutetea Taji La Voliboli Upande Wa Wanawake Kwa Jumla Wa Mechi Mbili Kwa Moja Uwanjani Kasarani.