Skip to main content
Skip to main content

KCSE 2025 : Sherehe zatanda baada ya matokeo kutangazwa

  • | KBC Video
    666 views
    Duration: 4:19
    Sherehe zilitanda katika shule nyingi za upili na hata nyumbani kote nchini kufuatia matokeo ya hivi punde ya KCSE. Watahiniwa hao, ambao sasa ni wanafunzi wa zamani wa shule za upili wameonyesha matumaini ya kujiunga na elimu yao ya juu baada ya kuzoa alama za kupigiwa mfano katika mitihani yao. Wakufunzi wao kwa upande wao wakiahidi kuendelea kuwaunga mkono katika kufanya maamuzi sahihi kuhusu kozi za kuendelea katika viwango vyao vya elimu ya juu,huku wakiwataka wanafunzi wengine kuiga wale ambao wamepata matokeo bora. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive