- 210 viewsMamlaka ya ujenzi wa barabara kuu nchini - KENHA, tume ya ardhi - NLC - na mwana kandarasi wa barabara ya Mombasa hadi Malindi wanatazamiwa kufanya kikao cha kutatua mgogoro wa ulipaji fidia kwa zaidi ya wakazi 300 wanaoishi kando ya barabara hiyo. Baadhi ya wakazi wamekuwa wakipinga fidia iliyopendekezwa na kutaka uwazi wa shughuli hiyo.