Skip to main content
Skip to main content

KENHA yatakiwa kuweka matuta na alama za barabarani Emali-Loitokitok

  • | Citizen TV
    327 views
    Duration: 4:04
    Serikali kupitia mamlaka ya ujenzi wa barabara kuu humu nchini Kenha imetakiwa kuweka matuta, na alama za barabarani kwenye barabara kuu ya Emali kwenda Loitkotok kaunti ya Kajiado ili kupunguza ajali. Wakazi wa Loitokitoka walioungana na maafisa wa usalama na viongozi wa kidini wanasema ajali nyingi hutokea kwenye barabara hiyo kwa kukosa matuta na alama za barabarani