22 Mar 2026 7:28 pm | Citizen TV 553 views Duration: 1:30 Serikali imeeleza kuwa ina imani ya kufikia muda uliowekwa na shirikisho la soka barani afrika (CAF) kuhusiana na maandalizi ya kuandaa michuano ya kombe la mataifa ya afrika (AFCON) mwaka ujao.