Kenya kuandaa kongamano la pili la UN HABITAT

  • | KBC Video
    17 views

    Awamu ya pili ya kongamano la shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu makazi linatazamiwa kuandaliwa jijini Nairobi kuanzia tarehe-5 hadi 9 mwezi Juni na linatazamiwa kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe elfu 6 kutoka mataifa-193 wanachama wa Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa ajenda kuu za kongamano hilo ni uwepo wa makazi bora ya gharama nafuu, uzuiaji uchafuzi wa hewa mijini, utekelezaji malengo ya maendeleo endelevu katika mataifa husika na ufadhili wa kitaifa. Serikali ya Kenya imesema iko tayari kwa kongamano hilo huku katibu katika wizara ya nyumba Charles Hinga akirai utekelezwaji wa haraka wa mapendekezo yatakayopitishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #UNHABITATASSEMBLY