Skip to main content
Skip to main content

Kenya kuanza kujitengenezea chanjo ifikapo-2027 uzalishaji chanjo

  • | KBC Video
    390 views
    Duration: 2:14
    Kenya itaanza kutengeneza chanjo zake kuanzia mwaka wa 2027. Taasisi ya Kenya ya BioVax inayohusika na utengenezaji wa bidhaa maalum za matibabu na teknolojia ikiwa ni pamoja na chanjo imesema itakuwa tayari kuanza utengenezaji wa chanjo katika mwaka mmoja ujao, kuashiria safari ya kihistoria ya taifa kujitosheleza kwa chanjo. Taasisi hiyo mpya kwa ushirikiano na benki ya dunia na serikali ya Kenya itatengeneza na kuuza chanjo za binadamu na teknolojia ya afya, na hivyo kuiweka Kenya kuwa kitovu cha kikanda cha uvumbuzi wa kimatibabu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive