KENYA KUWEKWA KITOVU CHA AKILI MNEMBA AFRIKA, ZAIDI YA AJIRA 30,000 KUTARAJIWA

  • | K24 Video
    81 views

    Kenya inatarajiwa kuwa kitovu cha akili mnemba Afrika kupitia kwa miradi itakayobuni takriban nafasi 30, 000 za ajira zitakazozalisha takriban dola bilioni 2.4 kwenye uchumi wa taifa. Rais William Ruto na balozi Philip Tigo wanatarajiwa kuhudhuria rasmi uzinduzi wa kituo cha akili mnemba mnamo juni tarehe ishirini itakayofanyika jijini Rome, Italia.Hatua hii inatarajiwa kuborsha sekta tofati ikiwemo kilimo, kawi na afya