Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza na ODM watetea serikali kuhusu bei ya mafuta

  • | Citizen TV
    308 views
    Viongozi wa Kenya Kwanza na wenzao wa ODM wameendeleza mashambulizi dhidi ya upinzani, wakiwalaumu kwa kuingiza siasa kwenye suala la mafuta nchini. Wakizungumza kwenye hafla ya kuchangisha pesa Kaunti ya Kilifi, wanasiasa hao wameendelea kutetea utendakazi wa Serikali ya Rais William Ruto. Aidha, siasa za uchaguzi mkuu wa mwaka ujao zilisheheni mkutanoni.