24 Sep 2025 10:20 am | Citizen TV 273 views Duration: 1:45 Wabunge wa Kenya Kwanza kutoka eneo la Gusii wamemsuta vikali aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua, kwa madai ya kuwachochea wananchi dhidi ya viongozi wa Kenya Kwanza.