14 Sep 2026 10:54 am | Citizen TV 2,236 views Duration: 2:06 Viongozi wanaounga mkono serikali ya Kenya Kwanza wameendelea kukosoa matamshi ya Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, kuhusu usajili wa wapiga kura waliofariki.