Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Marekani zatia saini mkataba wa dola bilioni 1.6

  • | Citizen TV
    1,742 views
    Duration: 1:56
    Serikali ya Kenya na ya Marekani zimetia saini mkataba wa dola bilioni 1.6 za kuboresha sekta ya afya kwa kipindi cha miaka mitano. Akizungumza baada ya kutia saini mkataba huo jijini washington DC marekani, Rais William Ruto ameipongeza serikali ya marekani akiahidi kuhakikisha kuwa fedha hizo zimetumika kusambaza vifaa vya kisasa hospitalini, utoaji huduma kwa wakati ufaao, kuboresha utendakazi na kutoa bima ya afya kwa wote.