Kenya: Watu wa jamii ya Wapemba waeleza matatizo yanayowakabili

  • | VOA Swahili
    159 views
    Watu wa jamii ya Wapemba nchini Kenya waungana katika harakati za kupata uraia wa Kenya. Kiongozi wao anaeleza kuwa wanakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutoweza kumiliki mali zao wao wenyewe. Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa akikuletea historia na juhudi za Wapemba katika mchakato wa kupata uraia na matatizo wanayokabiliwa nayo. #jamii #wapemba #kenya #harakati #uraia #kiongozi #hati #mombasa #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.