- 461 viewsDuration: 3:54Miito ya kukabiliana na ufisadi wakati wa uchaguzi pamoja na uongozi wa maadili ilitawala sherehe ya mwaka huu siku ya kimataifa ya kupambana na ufisadi barani Afrika iliyoadhimishwa jijini Nairobi. Tume ya maadili na kupambana na ufisadi iliunga mkono rasimu za kanuni za ufadhili wa kampeni za uchaguzi inayoongozwa na tume ya IEBC, ikisema itasaidia katika kupambana na rushwa pamoja na vishawishi wanatolewa kwa wapiga kura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive