Kenya yaadhimisha siku ya ugonjwa wa Vitiligo duniani

  • | KBC Video
    40 views

    Kenya leo iliadhimisha siku Vitiligo duniani, ambayo ni hali inayosababisha ngozi kupoteza rangi yake. Hafla hiyo iliyoandaliwa jijini Nairobi iliwaleta pamoja wataalamu wa afya, watetezi na waathiriwa waliotoa wito wa umahasishaji wa kina, ujumuishwaji na msaada kwa watu walio na hali hii inayotokana na matatizo mbalimbali ya kiafya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive