- 347 viewsDuration: 3:07Kenya imeungana na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari hii leo huku wanahabari wakitakiwa kuwa makini na taarifa wanazopeperusha msimu huu wa siasa za uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Haya yamezungumzwa kwenye maadhimisho makuu hapa Nairobi huku wanahabari nyanjani wakiadhimisha siku hii kwa wito wa usalama wanapokuwa kazini.