- 333 viewsWaziri wa Masuala ya Baharini Kenya Salim Mvurya asema nchi yake imeamua kuifufua Kenya Shipping Line liwe ni shirika ambalo litaweza kuendeleza shughuli za biashara ya usafirishaji wa majini. Pia endelea kusikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania Abdi Mkeyenga kuhusu agenda ya mkutano wa Muungano wa Mamlaka za Uchukuzi Baharini Barani Afrika uliofanyika nchini Kenya. #mtaalam #uchumi #afrikakusini #zamachoncochonco #nchizaafrika #mamlakazauchukuzibaharini #shirikisholakimataifalamasualayabahari #voa #voaswahili #dunianileo #ulaya #asia- - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kenya yaamua kulifufua shirika la usafirishaji wa majini - Kenya Shipping Line
- 8 Jul 2025 - Danish mothers get 18 months paid leave—and their country leads the world in gender equality with 83 pc parity score
- - Goons or private security? Armed men guard private businesses during protests in Nairobi
- 8 Jul 2025 - Protests to mark Saba Saba spilled into the city’s environs and estates.
- 8 Jul 2025 - Justice Mugambi dismissed petition filed by suspects claiming State had subjected them to double jeopardy
- 8 Jul 2025 - Complete shutdown foils Saba Saba protests in Kenya's capital.
- 8 Jul 2025 - 'The more you wear glasses, the worse your eyes get'—And other lies we tell each other
- 8 Jul 2025 - Deaths, injuries and looting marked the 35th Saba Saba Day commemoration.
- 8 Jul 2025 - Businesses remained shut while public transport was disrupted across several urban centres.
- 8 Jul 2025 - County boss banking on legal loopholes to avoid removal from office.
- 7 Jul 2025 - The Kenya National Human Rights Commission also documented two abductions and 37 arrests.