- 138 viewsDuration: 52sTimu ya wanawake ya kenya chini ya miaka 20, rising starlets waliondoka kwenda Ethiopia kabla ya mechi yao ya kufuzu kwa kombe la dunia la fifa chini ya miaka 20 dhidi ya wenyeji siku ya Jumapili mjini addis ababa, Ethiopia.